Tuesday, December 13, 2011

ugomvi wa mafahari

Mfalme wa ardhini (Tembo) akijaribu kujikwamua baada ya kukamatwa alipokuwa akinywa maji katika kijito alichokuwa akiishi mamba.