Tuesday, December 13, 2011

mashindano ya pikipiki ndani ya Tanganyika peakers

hizi ni pikpiki  baadhi za wachezaji wa mchezo wa pikpiki wakiwa wamezipaki wakati wakijishughulisha na mazoezi katika uwanja wa Tanganyika peakers jijini Dar es Salaam siku chache zilizopita (picha kisanga Godbless)